Dua'a ya kumaliza Kula chakula

وعن مُعَاذِ بنِ أَنسٍ قَالَ: قَالَ رسُولُ اللَّه ﷺ: مَنْ أَكَلَ طَعَامًا فَقال: الحَمْدُ للَّهِ الَّذِي أَطْعَمَني هَذَا وَرَزَقْنِيهِ مِنْ غيْرِ حَوْلٍ مِنِّي وَلا قُوَّةٍ؛

Kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Amesema Mtume Sala na Salamu ziwe juu yake: “Atakae kula chakula kisha akasema (baada ya...

Soma Zaidi...

Hadithi

Hadithi 40 za Imam Nawawi (18)

tokea miaka 2

Kutoka kwa Abi Dharr Jundub Bin Junada na Abi Abdirahman Muafh Bin Jabal Radhi za Allah ziwe juu yao: Kutoka kwa Mtume sala na salamu...

Soma Zaidi...

Hadithi

Hadithi 40 za Imam Nawawi (11)

tokea miaka 2

Kutoka kwa Abi Muhammad Hasan Bin Ally Bin Abi Twalib, Mjukuu wa Mtume sala na salamu ziwe juu yake na ni kipenzi chake radhi za...

Soma Zaidi...


وعن مُعَاذِ بنِ أَنسٍ قَالَ: قَالَ رسُولُ اللَّه ﷺ: مَنْ أَكَلَ طَعَامًا فَقال: الحَمْدُ للَّهِ الَّذِي أَطْعَمَني هَذَا وَرَزَقْنِيهِ مِنْ غيْرِ حَوْلٍ مِنِّي وَلا قُوَّةٍ؛ غُفِرَ لَهُ مَا تَقَدَّمَ مِنْ ذَنْبِهِ رواه أَبُو داود، والترمذي وقال: حدِيثٌ حسنٌ


Kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Amesema Mtume Sala na Salamu ziwe juu yake: “Atakae kula chakula kisha akasema (baada ya kumaliza kula chakula hicho): kila sifa njema anastahiki Allah amabe amenilisha chakula hiki pasi na ujanja wowote (kutoka kwangu) wala nguvu yoyote ile atasamehewa dhambi zake zilizotangulia”.


Nyongeza ya Mfasiri


Kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Amesema Mtume Sala na Salamu ziwe juu yake: “Atakae kula chakula kisha akasema (baada ya kumaliza kula chakula hicho): kila sifa njema anastahiki Allah amabe amenilisha chakula hiki pasi na ujanja wowote (kutoka kwangu) wala nguvu yoyote ile atasamehewa dhambi zake zilizotangulia”.


Faida zinazopatikana katika Makala hii:

1. Umuhimu wa kujifunza Dini
2. Allah ndie mwenye Kutegemewa na kuhitajiwa katika kutoa Rizq
3. Rizq zinatoka kwa Allah wala si Ujanaja na Hila zetu
4. Kila mtu anahitajika kumtegemea allah ukweli wa kumtegemea kisha Ndipo juhudi zake niafuata wala si kinyume chake

Kuhusu Sisi

Fawaid ni tovuti inayosimamiwa na vijana wenye kufuata Sunnah katika ufahamu wa Salaf (Wema Waliotangulia). Na tunapenda kuchukua fursa hii kukunasihi wewe kusambaza kila kheri kadri unayoweza kuifikisha ili uwasaidie wengine nao wapate kufahamu Dini yao hii Tukufu

Makala Mpya

Kwengineko


  1. Markaz Omar