Dua'a ya kumaliza Kula chakula

وعن مُعَاذِ بنِ أَنسٍ قَالَ: قَالَ رسُولُ اللَّه ﷺ: مَنْ أَكَلَ طَعَامًا فَقال: الحَمْدُ للَّهِ الَّذِي أَطْعَمَني هَذَا وَرَزَقْنِيهِ مِنْ غيْرِ حَوْلٍ مِنِّي وَلا قُوَّةٍ؛

Kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Amesema Mtume Sala na Salamu ziwe juu yake: “Atakae kula chakula kisha akasema (baada ya...

Soma Zaidi...

Hadithi

Hadithi 40 za Imam Nawawi (18)

tokea miaka 2

Kutoka kwa Abi Dharr Jundub Bin Junada na Abi Abdirahman Muafh Bin Jabal Radhi za Allah ziwe juu yao: Kutoka kwa Mtume sala na salamu...

Soma Zaidi...

Hadithi

Hadithi 40 za Imam Nawawi (11)

tokea miaka 2

Kutoka kwa Abi Muhammad Hasan Bin Ally Bin Abi Twalib, Mjukuu wa Mtume sala na salamu ziwe juu yake na ni kipenzi chake radhi za...

Soma Zaidi...


عن أبي مُحَمَّدٍ الْحَسَنِ بنِ عليِّ بنِ أبي طالِبٍ، سِبْطِ رسولِ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ ورَيْحانَتِهِ رَضِي اللهُ عَنْهُما قالَ: حَفِظْتُ مِنْ رسولِ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: {دَعْ مَا يَرِيبُكَ إِلَى مَا لاَ يَرِيبُكَ}. رواهُ التِّرمذيُّ والنَّسائِيُّ، وقالَ التِّرمذيُّ: حديثٌ حسَنٌ صحيحٌ


Kutoka kwa Abi Muhammad Hasan Bin Ally Bin Abi Twalib, Mjukuu wa Mtume sala na salamu ziwe juu yake na ni kipenzi chake radhi za Allah ziwe juu yake yeye na Baba yake amesema: NIMEHIFADHI KUTOKA KWA MTUME SALA NA SALAMU ZIWE JUU YAKE: "ACHA (JAMBO) LENYE KUKUTIA MASHAKA NA UFANYE LISILOKUTIA MASHAKA"


Faida zinazopatikana katika Makala hii:

1. Umuhimu wa kujiepusha na kila chenye kuwa na mashaka na matatizo
2. Umuhimu wa kujifunza dini
3. Mafunzo huanza kwa watu wa nyumbani
4. Miongoni mwa namna ya ufundishaji wa watoto ninkuwahifadhisha

Kuhusu Sisi

Fawaid ni tovuti inayosimamiwa na vijana wenye kufuata Sunnah katika ufahamu wa Salaf (Wema Waliotangulia). Na tunapenda kuchukua fursa hii kukunasihi wewe kusambaza kila kheri kadri unayoweza kuifikisha ili uwasaidie wengine nao wapate kufahamu Dini yao hii Tukufu

Makala Mpya

Kwengineko


  1. Markaz Omar