Dua'a ya kumaliza Kula chakula

وعن مُعَاذِ بنِ أَنسٍ قَالَ: قَالَ رسُولُ اللَّه ﷺ: مَنْ أَكَلَ طَعَامًا فَقال: الحَمْدُ للَّهِ الَّذِي أَطْعَمَني هَذَا وَرَزَقْنِيهِ مِنْ غيْرِ حَوْلٍ مِنِّي وَلا قُوَّةٍ؛

Kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Amesema Mtume Sala na Salamu ziwe juu yake: “Atakae kula chakula kisha akasema (baada ya...

Soma Zaidi...

Hadithi

Hadithi 40 za Imam Nawawi (18)

tokea miaka 2

Kutoka kwa Abi Dharr Jundub Bin Junada na Abi Abdirahman Muafh Bin Jabal Radhi za Allah ziwe juu yao: Kutoka kwa Mtume sala na salamu...

Soma Zaidi...

Hadithi

Hadithi 40 za Imam Nawawi (11)

tokea miaka 2

Kutoka kwa Abi Muhammad Hasan Bin Ally Bin Abi Twalib, Mjukuu wa Mtume sala na salamu ziwe juu yake na ni kipenzi chake radhi za...

Soma Zaidi...


عن أبي ذرٍّ جُندُبِ بنِ جُنَادَةَ وأبي عبدِ الرَّحمنِ مُعاذِ بنِ جبلٍ رضِي اللهُ عَنْهُما، عن رسولِ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قالَ: {اتَّقِ اللهَ حَيْثُمَا كُنْتَ، وَأَتْبِعِ السَّيِّئَةَ الْحَسَنَةَ تَمْحُهَا، وَخَالِقِ النَّاسَ بِخُلُقٍ حَسَنٍ} رواه التِّرمذيّ، وقالَ حديثٌ حَسَنٌ. وفي بعضِ النُّسَخِ حسنٌ صحيحٌ.


Kutoka kwa Abi Dharr Jundub Bin Junada na Abi Abdirahman Muafh Bin Jabal Radhi za Allah ziwe juu yao: Kutoka kwa Mtume sala na salamu ziwe juu yake amesema: MUOGOPE ALLAH POPOTE ULIPO, NA FANYA (MATENDO MEMA) KUTOKANA NA MAOVU (ULIYOYAFANYA) ILI (MATENDO MEMA) YAFUTE YALE MAOVU, NA ISHI NA WATU NA TABIA NZURI


Faida zinazopatikana katika Makala hii:

1. Tabia njema ni katika Mafunzi ya kiislamu
2. Kila dhambi ifanyiwe toba
3. Tujitahidi katika mema ili tusamehewe dhambi zetu tulizotanguliza
4. Hii ninkatika misingi muhimu sana ya dini yetu
5. Umuhimu wa kujifunza Dini

Kuhusu Sisi

Fawaid ni tovuti inayosimamiwa na vijana wenye kufuata Sunnah katika ufahamu wa Salaf (Wema Waliotangulia). Na tunapenda kuchukua fursa hii kukunasihi wewe kusambaza kila kheri kadri unayoweza kuifikisha ili uwasaidie wengine nao wapate kufahamu Dini yao hii Tukufu

Makala Mpya

Kwengineko


  1. Markaz Omar